#EXCLUSIVE AUDIO | Msomali – Uongo | Featured On Gotchscape.....Explore the latest music trends and essential tips for your musical journey! From mastering recording techniques to navigating digital distribution and marketing strategies, Gotchscape Entertainment has all you need. Download This MP3
AUDIO | Msomali – Uongo | Download MP3
DOWNLOAD AUDIO
Msomali – Uongo Lyrics
J4d Sound
Aaah vitamin yooo
Adasco M2 M'bad
Oya ukiambiwa mi malaya wa sio uongo uwo
Mapenzi yenyewe yananichanganya ubongo uwo
Minakupenda unanipenda kwa uongo uwo
Umenimiss unanimiss kimchongo uwo
Nami na moyo mama sio jiwe ooh
Mengi uliyofanya naumia rohoo
Nami na moyo mama sio jiwe ooh
Mengi uliyofanya naumia rohoo
Oya mi muongo mi muongo
Oyaa nakunywa pombe na vuta bange
Nafanya dhambi na wapeleka kwa mparange
Siachi kwenda club siachi kwenda ulabu
Nitawapa sana tabu wanaopenda pesa ooh
Oya mi muongo mi muongo
Nikisema nakupenda mi muongo
Sina mapenzi ya kweli mi muongo
Nina chembe za utapeli mi muongo
Ukinipenda umefeli mi muongo
Oya mi muongo mi muongo
Oya mi muongo mi muongo
Oya mi muongo mi muongo
Oya mi muongo mi muongo
Oya nasema ukweli ila kama uongo uwo
Nilivyoimba vyote si kweli uongo uwo
Oya mi muongo mi muongo
Oya mi muongo mi muongo
Nilivyoimba vyote si kweli uongo uwo
Nilivyoimba vyote si kweli uongo uwo
Oya mi muongo mi muongo
Oya mi muongo mi muongo
Oya mi muongo mi muongo
M2 Mbaad