Much love and appreciation to Tumaini Shangilieni Choir & Upendo Choir (Anglican St. James Church – Arusha Tanzania) for the original version of this song. Tunasheherekea kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo kupitia wimbo huu unaotangaza ukombozi na nuru ya Kristo inayotuangazia! Wimbo huu unatukumbusha furaha tuliyonayo ndani ya Yesu ambaye ndiye njia, nguvu yetu, na hakikisho la furaha ya milele tukifika mbinguni. Kwa imani, tuna hakikisho la ushindi, na kwa sifa, tunatangaza utukufu wa Mkombozi wetu. Wimbo huu uinue moyo wako ukimshukuru Mungu kwa furaha ya wokovu na ahadi ya uzima wa milele. Leader: Monica Zacharia & Tabitha Richard
AUDIO | Neema Gospel Choir – Shangilieni Furaha Gani | Download Mp3
DOWNLOAD AUDIO
The post AUDIO | Neema Gospel Choir – Shangilieni Furaha Gani | Download Mp3 appeared first on Mzuka Kibao.