Chama Cha Mapinduzi [CCM] kupitia Mwenyekiti na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani. Wametimiza ahadi na mipango walijiwekea kwenye ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020.
Miradi mingi ya Kiserikali imetimizwa na imepata nafasi ya kuwa sehemu ya nyimbo hii na imeelezwa kwa taarifa kamili na data husika Sikiliza kwa makini utaona kwa namna gani Tanzania kama nchi inazidi kupiga hatua kwenye kutekeleza miradi ya maendelea kwa wananchi walioko mijini na Vijijini.
Wimbo huu ni sehemu ya kuakisi yale mema yaliyotekelezwa na serikali ya Mama Samia Suluhu Hassani Karibu kusikiliza wimbo huu.
AUDIO | Mrisho mpoto ft Hamadai – Hatuna deni na Mama (SAMIA) | Download MP3
DOWNLOAD AUDIO
The post AUDIO | Mrisho Mpoto ft Hamadai – Hatuna deni na Mama (SAMIA) | Download MP3 appeared first on Mzuka Kibao.